Friday, November 16, 2012

SHUKRANI ZANGU

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wale wote mlioudhuria na mliousika katika kufanikisha tamasha la uzindu wa album yangu ya pili ya NIACHENI NI MFUATE YESU uliofanyika pale AKUZAMU INTERNATIONAL lililopo posta mpya sina cha kuwalipa bali ninachoweza kusema Mungu awabariki kwa kujitolea kwenu kwa hali na mali shukran za pekee ziwaendee washirika na uongozi mzima wa AKUZAMU INTERNATIONAL MINISTRY,MCHUNGAJI WANGU EDWARD AMRI
                                              MCHUNGAJI KIONGOZI WA AKUZAMU Pia shukrani zangu ziende kwa wasanii wote wa bongo movie na watangazaji mbili mbali kamba vile
                                           zomboko kutoka itv
                                              maimatha kutoka tbc
                                              waimbaji na dotnata
                                            tino muya
                                               iren uwoya
pia shukrani zangu ziende kwa waimbaji wote wa nyimbo za injili walionisupport kama vile enock jonathan,unity family,madam ruth na chriss na wote mlioshiriki kwa njia moja ama nyingine Mungu awabariki sana.
                                        
                                        
                                       
                                        

0 comments:

Post a Comment